TCAA-CCC WEBSITE LAUNCHING JUNE 16, 2016

 

 

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Hamza Johari, (kulia )akiongea  wakati wa Mkutano wa wadau wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga , ulioandaliwa na TCAA-CCC jijini Dar es Salaam, ambapo pia walizunduzua toviti yao. Wengine  ni Mwenyekiti wa Baraza Shaban Mtambalike.  Mjumbe wa Baraza Nelly Mwasongwe na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza Debora Mligo

 

 Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Hamza Johari akiongea wakati Mkutano wa wadau ulioandaliwa na Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za Usafiri wa Anga  TCAA-CCC kabla ya kuzindua tovuti yao. Uliofanyikia Makao Makuu ya TCAA Ukonga Banana.wengine  ni Mwenyekiti wa Baraza Shaban Mtambalikena na  Mjumbe wa Baraza Nelly Mwasongwe